Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Mie nakumbuka mambo manne
- Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
- Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA
- O'level nakumbuka nilikua mtu wa msuli sana nimefuga muembe huo hatari yaani kama msukule, second master alikua na kigugumizi yaani akija assemble ni kunizungumzia tu mimi na minywele yangu. Ila nilikua muoga wa mademu balaa, nilivyofika advance niaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI) alikua mgumu kinoma ila alikua mpenda mademu hajui kutongoza, siku moja tukaenda kwa mganga mitaa fulani nyuma ya shule uswazi kutafuta kizizi cha kuwanasa watoto, Tukapigwa changa la macho na madem hatukupata..Ikabidi tuanze kuzunguka kitaa usiku kununua wale wanaojipanga mitaani..aisee yaani maisha ya shule noma sana
- Nakumbuka pia siku ya kwanza kuingia disko la shule nilikua nimevaa suruali ya kitambaa(jeans style enzi hizo) bila nguo yoyote ndani, Ile kucheza cheza videmu vizuri vizuri vikawa vinazingua bana. Bahati nzuri kuna demu mmoja mbaya mbaya hafu mnenee watu walikua wanamkimbia alikua kaegemea nguzo, nikaon huyu huyu. Nilimbambia aisee kwa hasira zoote nikasahau huku ndani sina hata pichu, mambo si yakaharibika, bahati nzuri kumbe na yeye alikua na stimu zake tu siku nyingi akawa katulia kama hana habari yaani watu walio kuwa pembeni walikua wanacheka kinoma mie sina habari,Tokea siku hiyo hakuna disko nilokosa aiseee ha ha ha