Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

boarding nimesoma kuanzia chuo, kituko na kitu kilichonishangaza ni chuo ni kitu kinaitwa kiu, mwanzoni nilikuwa nakichukua saaana lakini baadae ilikuwa ni refreshment kwa kweli hasa kiu ile isiyo na matusi.

Kituko kingine kilichonishangaza ni puch, hii aisee ilikuwa inatisha enzi zile jamani, maana mtu anaanikwa uovu wake na mtu asiyemjua na mahali ambapo hawezi kuondoa!!!!!!!!!!!

hii mzumbe main campus
 
mkuu ata hyo niliisahau!,kuna dem m1 bongebonge 2likua 2namwita sura7,niliruka nae ndebe kwenye pari la tycs nikawa nalipakata toto zmazma,km unavojua masela wakaanza kudc mara oo dem sura7,nxt bash toto nikalilia tmng tena nikalpa madini nikaanza kunja nalo goti on stage!msela m1 aliekua anandc akaja kunibdmbeleza nimpe sub kwa litoto nae alipakate.,nikamtoa nduki fasta then nkaendelea kulipakata2(ikawa kla bash lazma nlimendee 2kunje goti),duuu boardng kuna raha yake wajameni!

Hivi mkuu...pale mazimbu unapakatia toto gani mkuu geezle..ha ha ha ha ha mana hizi mambo ulianza kitambo kumbe.....
 
Siji kusahau siku ambayo tulikamatwa kitaan kwa sababu ya kucheza mzki wa rusha roho 4m 6 afu tukatishiwa kufukuzwa shule na mkuu wa shule,ila kutokana na sisi kuwa majembe ya shule kwa mtihani kwahiyo tukasamehewa,ila sasa nko zangu versity nahudhuria sehemu muhimu dar km bilicanas club,dar live,n.k
 
hahah mpigamsuli umenikumbusha disko na mawarsaw, ila walikuwa wanakuja wachache .sisi ambao tulikuwa hatuna bond kule girls tulikuwa tunang'aza kwa kweli..
nakumbuka walialikwa na milambo kwenda disco, walikuja kubebwa na mabas ya nbs kam matatu hv ilituuma sana ile waboyzia...
 
Mkuu umemaliza mwakagani pale? , ile siku walambo walivyoenda tabora gals kuna waboysia wakavizia mabasi yale wakapiga mawe lile basi
 
Mie nakumbuka mambo manne
  • Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
  • Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA
  • O'level nakumbuka nilikua mtu wa msuli sana nimefuga muembe huo hatari yaani kama msukule, second master alikua na kigugumizi yaani akija assemble ni kunizungumzia tu mimi na minywele yangu. Ila nilikua muoga wa mademu balaa, nilivyofika advance niaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI) alikua mgumu kinoma ila alikua mpenda mademu hajui kutongoza, siku moja tukaenda kwa mganga mitaa fulani nyuma ya shule uswazi kutafuta kizizi cha kuwanasa watoto, Tukapigwa changa la macho na madem hatukupata..Ikabidi tuanze kuzunguka kitaa usiku kununua wale wanaojipanga mitaani..aisee yaani maisha ya shule noma sana
  • Nakumbuka pia siku ya kwanza kuingia disko la shule nilikua nimevaa suruali ya kitambaa(jeans style enzi hizo) bila nguo yoyote ndani, Ile kucheza cheza videmu vizuri vizuri vikawa vinazingua bana. Bahati nzuri kuna demu mmoja mbaya mbaya hafu mnenee watu walikua wanamkimbia alikua kaegemea nguzo, nikaon huyu huyu. Nilimbambia aisee kwa hasira zoote nikasahau huku ndani sina hata pichu, mambo si yakaharibika, bahati nzuri kumbe na yeye alikua na stimu zake tu siku nyingi akawa katulia kama hana habari yaani watu walio kuwa pembeni walikua wanacheka kinoma mie sina habari,Tokea siku hiyo hakuna disko nilokosa aiseee ha ha ha

wewe ni noma aisee,duuh na huyo mheshimiwa hawafanyii kitu kibaya huko muhimbili,maana mikasa yenu inaogopesha,ila very interesting mtu wangu,
 
Mie nakumbuka mambo manne
  • Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
  • Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA, nikaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI)

    BILA SHAKA, UMESOMA MILAMBO
 
Wakuu hii noma nikikumbuka vituko vya boarding mpaka sina hamu. Ila kwa upande mwingine kulikuwa na raha zake! Kuna siku jamaa alikata gogo juu ya choo bila kulenga tundu. Vyoo ndo vilikuwa hata wiki havijamaliza tangu vikabidhiwe! Mabweni mawili yaliyokuwa yanatumia vyoo hivyo tukapangishwa msitari tuhakikishe hilo gogo limeondolewa kwenye hivyo vyoo na kuhamishia vyoo vingine kwa kupokezana! WEWEEEEEE! TAFAKARI.
 
Mkuu umemaliza mwakagani pale? , ile siku walambo walivyoenda tabora gals kuna waboysia wakavizia mabasi yale wakapiga mawe lile basi
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...
 
n'gambo disko vumbi mpaka asubuhi, jumamosi royal club,frank man palace ,uhazili siku za graduation nakumbuka nilicheza disco mpaka asubuhi mulemule ndani ya disko kulikuwa na maticha

Hahahahahaha...
Yaani Ww Kama Sio Tabora Boyz... Cjui.
 
Nakumbuka siku moja nilikuwa nalia kama mbuzi usiku bwenini wakati umeme umekata alitoke ticha mmoja wanamwita big ambaye alikuwa ndo patron alafu alikuwa kalewa mbaya akakutana na mimi gafla kwenye kona alinikata funua funika yaani kofi la pande mbili breki ya kwanza nilijikuta chooni nimejifungia nakata gogo!!! Daaah
 
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
Aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...

daah nakumbuka mbal sana walambo tulikua viraka siku wagelozia wakizingua tunakamatia warembo wa kazima bila utataaaaa!!.
 
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...

Ulikuwa kombi gani mkuu ?mimi pia nlikuwa pale form5 2010, unakumbuka ile siku mwaka 2011 tulienda kwenye graduation ya taboragals ,chini ya mr.kapala na mr.lupenza, tulicheza disco mpaka saa 5 usiku watu tulibambia sanaa
 
Mie nakumbuka mambo manne
  • Nilikua mzee wa kuwahi top layer hasa shule moja pale Tabora noma, yaani msosi ulikua unawekwa wese la hatari mchuzi mwekunduu, nilikua nina kopo moja la mafuta ya KIMBO nikitupia humo mchuzi ule wa jujuu juu nikiumaliza lazima koo liwashe
  • Nakumbuka pia nilivyokua natoroka skuli usiku kwenda disko vumbi kitaa daily, yaani tukikutana mchana huwezi jua kama ni mimi aisee, ila napiga msuli ikifika saa 4 tu huyoo naenda kubambia vitoto vya uswazi bila kusahau kuangalia movie zetu zile za kikubwa enzi izo kiingilio SHILING MIA, nikaanza vimichezo vya hapa na pale si nikapata demu kitaa. Nilikua na jamaa yangu mmoja wa PBC(kwa sasa ni muheshimiwa mmoja mkubwa sana na daktari mzuri sana pale MUHIMBILI)

    BILA SHAKA, UMESOMA MILAMBO

  • Mie mboyzia aiseeee...ila warambo mlikuwa mnatuweka tumbo joto sana....
 
Back
Top Bottom