SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
boarding nimesoma kuanzia chuo, kituko na kitu kilichonishangaza ni chuo ni kitu kinaitwa kiu, mwanzoni nilikuwa nakichukua saaana lakini baadae ilikuwa ni refreshment kwa kweli hasa kiu ile isiyo na matusi.
Kituko kingine kilichonishangaza ni puch, hii aisee ilikuwa inatisha enzi zile jamani, maana mtu anaanikwa uovu wake na mtu asiyemjua na mahali ambapo hawezi kuondoa!!!!!!!!!!!
hii mzumbe main campus