Umesoma vitabu gani mwaka 2020?

1. The Richest Man in Babylon - George Samuel Ckason
2. Think and Grow Rich - Napoleon
3. 6 Golden Rules of Building wealth
4. The Power of Self Discpline
5.Millionare Mindset course
6. End of Days - Sylvia Brown, Lindsay Harrison
7. Afica's Hidden History - Credo Mutwa
8. 1st Council of NICEA - Dean Dudley
9. Religions Exposed - Philmore Akhenaten Carter
10. Currency Trading for Dummies - Brian Dolan
 
Mkuu

Mimi huwa nasoma softcopies, ukiangalia katika Titles hapo juu hakuna hata kimoja utakachokikuta bookstores za Bongo labda uagize Amazon

Hivyo vitabu ni ghali sana huko Duniani, Mfano kitabu cha Breakthrough Advertising bei yake ni zaidi ya Million. Sina uwezo huo πŸ˜‚

Na kuhusu hilo swala la kubatizwa majina ni kweli, vitabu vinakujengea uwezo wa kuwa na uono mpana sana tofauti na wale wanaokuzunguka, ikitokea ukawa muelewa wa mambo mengi sana wengine wanaanza kukuita Muongo

I remember nishaitwa a man who knows more than Google, hii sio compliment Bali wananisadifu kwamba mimi ni Muongo πŸ˜‚πŸ˜Ž

Tujenge mazoea ya kusoma vitabu!
 
Hiki the monk who sold his ferrari kinanipigia sana kelele. Kila kona nakutana nacho. Huwa naogopa vitabu vya hivi(self help). Nisaidie summary yake, labda ntakijaribu.
Doooh....Kitafute ukisome..Mimi Nilinunua 2500 TU online nikasoma kwa simu...Ni kizuri..kinafikirisha.
 
Mzee hii kitu "Breakthrough Advertising by Eugene Schwartz" plz my email is samsonibahati@gmail, I will exchange some books too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…