Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

Sina goal yoyote nasoma kama burudani. Nikiona hakivutii naacha, vitabu vingi sijamaliza na ndiyo maana mara nyingi nauliza suggestions za watu. Ila hivyo vya kwenye app ni project ya kutafsiri na kucompile vitabu vya kiswahili.

Naisubiria list yako, bila shaka nitapata viwili vitatu kwa mwakani.
Okay, hata mimi mwaka huu nimesoma recommendations za Bookworms, sikuweka malengo kabisa. Naomba ni-list.

1.Slaughterhouse-5 by Kurt Vonnegut.
2.Crime and punishment ,A novel by Fyodor Dostoevsky.
3.Fahrenheit 451 by Ray Bradbury.
4.Thinking Fast and Slow by Daniel Kahneman
5.Compartment No. 6 by Rosa Liksom
6.Wife of the Gods by Kwei Quartey. Recommended by My Next Thirty Years Thirty year.
7.The Lies of Locke Lamora by Scott Lynch.
8.Jonathan Strange & Mr Norrel by Susanna Clarke was recommended by Nowonmai
9.Walk Two Moon. Hii ni kazi nzuri ya Sharon Creech.
10. Confederacy of dunces by Kennedy Toole. Recommended by you.
11.Night over water by Ken Follett. Recommended by Mr Miller .
12.The Pillars of the Earth by Ken Follett. Recommended by Nowonmai.
13.White Teeth by Zadie Smith. Recommended by Last emperor .
14.American psycho by Bret Easton Ellis.
 
Kati ya hivyo vyote, ni vipi umevikubali Sana?
 
Umetisha. Nafurahi ulisoma Confederacy of dunces😀😀😀. Mwakani naanza na hicho Walk two moon, maana umesema ni kazi nzuri.
 
Nami nilijiwekea utaratibubwa kusoma walao kitabu kimoja kwa Mwezi...

Nikapita kwa;-
Oliver Twist
The power of now
Thw leader who had no title
Mifupa 206
Tai kwenye mzoga
Operation panama
Tough timw never last, but tough people do
The power of vision
Historia ya Wagogo by Mnyampala
Ushuhuda wa Komando Chilewa akiwa jwtz tiss nk
Mfalme Juha
Ngozo Mama

na kadha wa kadhaa...
 
Hongera sana, Hiki Ngozo mama na Historia ya wagogo ntavipata wapi?
 
Nimesoma vingi ila my best this year ni
1.How to manipulate people
2.48 laws of power
3.The game of life and how to play it

Mwenye hiki kitabu anisaidie nitampoza
1. Mashujaa wa kale, sijui kama jina sahihi ila kina characters wanaitwa Peseo ,Theseo na wengine nimewasahau😁😁
 
Vitabu gani vizuri vya personal development?
BTW nimesoma hiki hapa. Naona ni kitabu kiziri sana mtu akitaka kujitambua. Vipi na vingine vingi nilivyosoma. Ila next year nataka nisome vitabu angalau 15 vya personal development, spiritual and financial skills.
 
Attachments

Asante na mimi nimekidownload nisome. Na wadau wengine mtusaidie kutuwekea vitabu nasi tuanze utamaduni wa kusoma vitabu,maana Watanzania tulio wengi wagumu sana kujisomea vitabu.
 
1. Promised Land - Barack Obama

2. Time for Mercy - John Grisham

3. Dubai , the Epicenter of Modern Innovation

4. Give and Take - Adam Grant

5. Behind the Presidential Curtains - Noble Marara

6. Mzee Rukhsa , safari ya Maisha yangu - Ali Hassan Mwinyi

7. Sapiens, A brief History of Mankind - Yael Harari

8. Homo Deus, A brief History of Tomorrow - Yael Harari

9. Start with Why - Simon Sinek

10. Find Your Why - Simon Sinek

11. Elon Musk: Tesla, SpaceX and the Quest for Fantastic Future - Ashlee Vance

12. Holy War Inc - Peter Bergen

13. The Holy Quran , Text , Translation and Commentary - Abdullah Yusuf Ali

14. Banco - Henri Charriere, the story of Papillon , part 2

Now reading

15. Think Again, the Power of knowing what you don’t know- Adam Grant

16. Relentless, From Good to Great to unstoppable - Tim S Grover
 
Back
Top Bottom