Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

Richest man in babilon
The third door
Poor dad rich dad
Japo mimi ni slow reader ntaongesa kasi 2022 nisome japo vitabu kumi na hicho cha kwanza ni dawa ya pochi tupu na kufulia
 
Hongera sana mkuu, so vitabu vyako bora vya mda wote ni vyote ulivyolist au ni hvyo viwili unavyorudiaga.
 
Kwenye hii maktaba app(by pictuss), karibu vitabu vyote vya kiswahili nilivyoorodhesha hapo vipo. Kasoro hivyo vitatu vya Kezilahabi. Ukipakua hiyo app unasoma bure, na unasoma hata ukiwa offline.
Thanks..nimevipata maktaba app. Technology imerahisisha maisha sana
 
Soma na hvi ni vzr sana, change your thinking, change your life, na the power of your subconscious mind.
 
°The secrete
•Captivate: The science of succeeding with people
•Mindset
•Motivation myth
•Charismatic Leadership
•Fanatical prospecting
•Spin Selling
•Give and take
•The E-Myth
•Egnore Everybody
•Unfuk Yourself
•The alchemist
•The monk who sold his ferrari
•Deep Work
•Neuro Linguists Programming
•Scrum
•Secrete of Question Based selling
•The 22 immutable laws of marketing
•The master key system
•How to analyze people on sight
•The 5 Second Rule
•The Four Agreements
Vichache ninavyovikumbuka.
 
Safari saba za SINDIBAD 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ni mdau wa kusoma vitabu mwaka 2019 nilivunja rekodi katika maisha yangu nilisoma vitabu karibia 100 lakini mwaka Jana na mwaka huu nilikua na msongo (stress) kiukweli maisha yalikua magumu sana kwa upande wangu.. Ila nashukuru Mungu nimesoma vitabu kama ishirini ila ambavyo ni the best ntataj viwili tu na vyote nimevisoma hapa hapa JF.... Natamani kila mtu asome hivi vitabu....

1. Safari saba za Sinbad na
2. The richest man in Babylon

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 

Ancient Greek Tales.

Wengine ni Hekili, Yasoni, Anteo ,Orpeo(malenga) na Atlas. Pia wapo miungu wa kiume na wa kike(gods and goddesses) bila kuwasahau mazimwi(monsters) kama Gorgo na dada zake, joka la Andromeda na Sirens, wale wadada watatu ambao sauti zao tamu huvutia meli kuvunjika juu ya miamba.

Utajifunza mengi na kuburudika zaidi kama utasoma The Iliad na The Odyssey vya Homer. PDF zake zipo google.
 

-The Almanack of Naval Ravikant

-Atomic Habits

-The God Equation: The Quest for a Theory of Everything

-Karma: A Yogi's Guide to Crafting Your Destiny

-The Code Breaker: Jennifer Doudna, Gene Editing, and the Future of the Human Race

-The Big Picture: On the Origins of Life, Meaning, and the Universe Itself

-The Skeptics' Guide to the Universe: How to Know What's Really Real in a World Increasingly Full of Fake

-The Molecule of More: How a Single Chemical in Your Brain Drives Love, Sex, and Creativity—and Will Determine the Fate of the Human Race

-No-Nonsense Buddhism for Beginners: Clear Answers to Burning Questions About Core Buddhist Teachings

-Until the End of Time: Mind, Matter, and Our Search for Meaning in an Evolving Universe

-Permission to Feel: Unlocking the Power of Emotions to Help Our Kids, Ourselves, and Our Society Thrive

-A Thousand Brains: A New Theory of Intelligence

-Think Again: The Power of Knowing What You Don't Know

-Livewired: The Inside Story of the Ever-Changing Brain

-A Life on Our Planet: My Witness Statement and a Vision for the Future

-Digital Minimalism: Choosing a Focused Life in a Noisy World

-The Beginning of Infinity: Explanations That Transform the World

-The Rational Optimist: How Prosperity Evolves

-Breathelogy The Art Of Conscious Breathing

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…