Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Mkuu nilikuwa nauliza gri kutema vijimajimaji kwenye mafla tatizo hua ni nn!!! Na wakati mwingine niliwahi kuona gari linatoa cheche za moto kwenye mafla vh hili tatizo hua linasababishwa na nn
 
Unapatikana wapi? Maana nina kapasso kangu kanahitaji dokta
 
Mimi Suzuki Swift ilipasuka rejeta. Nikabadili nyingine baada ya miezi miwili gari ikaanza kuchemsha nilipokagua maji yalikua yamepungua sana kwenye rejeta. Nalazimika kila siku kuongeza maji kati ya nusu lita au robo lita kila siku. Bila kuongeza baada ya siku mbili lazima gari ichemshe. Ila ukiongeza yakijaa hata usafiri umbali gani haichemshi. Je tatizo linaweza kua nini??je linatibika??? Nakupataje?
 
Mkuu nilikuwa nauliza gri kutema vijimajimaji kwenye mafla tatizo hua ni nn!!! Na wakati mwingine niliwahi kuona gari linatoa cheche za moto kwenye mafla vh hili tatizo hua linasababishwa na nn
Yapo matatizo madogo madogo yanayo sababisha ayo matatizo ambayo kiufundi fanya tuwasiliane +255758277823

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Gari yangu ina tatizo la kuua battery mapema ndani ya mwaka nimeshanunua battery mara 2 Ni Nissan Bluebird Sylph 2008 Model.. What could be the problem dr?
 
Hujasema unapatikana maeneo ya wapi, wewe umebobea katika eneo gani la gari na elimu/uzoefu wako kazini
Shoo diesel service,
Tunapatikana tabata dampo, dar es salaam pia tunausika na gear box, engine pamoja na fuel system (diesel & petrol ) zote tuna uzoefu wa mda mrefu katika kazi... fika upatiwe uduma bora +255758277823

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu shoohenry
Nina gari aina ya Toyota Grand Mark 11 injini ya 1JZ, D4 vvti inatoa mlio kama inagonga ndani ya injini. Hasa ukikanyaga mafuta kwa nguvu. Katika dashboard hakuna taa yoyote ya tahadhari inayowaka. Una idea na tatizo laweza kuwa ni nini?
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom