Umetembea na wanaume/wanawake wangapi hadi leo?

Umetembea na wanaume/wanawake wangapi hadi leo?

Kwa miaka 6 ya karibuni naweza jaza yotong but mwaka huu niliamua kubadilisha mfumo wangu wa maisha ikiwa ni pamoja umalaya.

Mwaka huu nimegonga demu mmoja tu,na tokea mwezi wa 3 hadi Leo siijui sura ya papuchi.Nina miezi 4 full sijaonja papuchi,kweli nimejifunza kila kitu ni maamuzi.
Ingawa ndoto nyevu kila baada ya wiki napata.
 
Humtakii mema yule jamaa wa CHAPTA
Acha ajimalize na huyu wa 99
57200156ff4a463f810b2883668c0a22.jpg
 
Majibu ya hili swali yameacha makovu mioyoni mwa wapendanao, pia yamevunja mahusiano mengi ambayo yalikua na ustawi mujarab katika tasnia ya huba.
Nashauri vijana msipende kuuliza hili swali unapo ingia kwenye mahusiano, ama usijibu hili swali mara tu unapo ingia kwenye mahusiano.
 
Ngoja kwanza.
Manka,zainabu,Fatima,hadija,priscillah,Rahman,Hidaya,Asia,zabibu,nurses Jamila,Rachel,fairouz,
Wp,Suzana,metrida,julieth na farashuu.
Wa chuo,Pamela,Sonia,Sasha,mwanaisha,mwanamkasi,mastidia,cocubanda,betrix,ngoja niishie hapo naona wengine nimewasahau
 
Sio wanaume wote tunapeenda kuwa na macoloni mengi, Wakati mwengine maringo ya wanawake yanasababisha unajikuta umepata ka'koloni kadogo dogo.
 
Back
Top Bottom