cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
kuna mmoja yeye mbele za watu anajichokonoa pua,na mdomo mpaka aupindishe,sijui raha zimemkolea?watu wakamtunga jina bila ya mwenyewe kujua.watu kama hao ukitaka uogombane nao,uwaambie ukweli.ustaarabu muhimu
Sasa kwanini msiwasaidie mkawaambia ili wajirekebishe badala ya kuwasema wakishaondoka?!!?!
teh teh teh umenichekesha sana sipati picha kwa kweli,kuna watu wanakula vibaya jaman naelewa why speaker kapatwa jazba.
kuna mmoja yeye mbele za watu anajichokonoa pua,na mdomo mpaka aupindishe,sijui raha zimemkolea?watu wakamtunga jina bila ya mwenyewe kujua.watu kama hao ukitaka uogombane nao,uwaambie ukweli.ustaarabu muhimu
teh teh teh umenichekesha sana sipati picha kwa kweli,kuna watu wanakula vibaya jaman naelewa why speaker kapatwa jazba.
....mmnnnnh, sema kisusio bana, damu ndio nini?
Haya basi kisusio kaka (kama ni mbu dume), sorry hivi kisusio chaweza kuwa na virusi pia
ina kera,ila ndo hivo huwezi jua unae enda kukutana nae then mkaingia
kula,mnaweza panga kutana lunch time kama ilivo nitokea,vumilia tu ila kumwambia ukweli duh,..
hadi muwe mmezoeana sana,...
Jana kuna mdada alikua anatembea ameshika sketi kama mwanaume anavo vuta jeans kwa mbele hivi,.
kwa kushika kwake sketi,skin tyt ilikua inaonekana nkamwambia sister unatembea uchi duh,..
ali niimbia taarabu nikakoma!
Sasa huyu nimwambie unakula kama mbwa ndo inakuaje?
au anatoa nyama kwenye meno bila kufunika mdomo,..
jamani,ukiwa umemaliza kula nyama,chukua stick then
mkono wa kushoto funika mdomo wako na mkono wa kulia ndo unatoa hivyo vinyama
vilivo ng'ang'ania kwenye meno!