cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
yah you can say that again, kuna mkaka mmoja naye ukimuona smart, lakini asianze kula asalaleh na chai anavyokunywa utadhania anapiga mluzi, yaani alikuwa ananitokeaga lakini nikawa turned off kabisa na manners zake za kula, inakera kupita maelezo.
nyie watu leo mnaniua kwa kucheka.mm ningebakia kumkodolea macho.