Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

IMPORTANCE%20OF%20BEAUTY%20MAKEUP%20COSMETICS%202021%20_%20HABIT.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umejitokeza live ..

Ngoja tusubiri yule mpinzani wako nguli wa miaka na miaka kama naye atajitokeza live.

Ila BTW sura hii si ngeni sana.

Hahahaaa sura hiyo ushaiona wapi kaka?

Yule Kundumuzuku utemi wake mtandaoni tu.

Jana nimemwambia anipe location niende tukazipige 🥊, akagwaya.

Hata leo mi niko tayari. Sehemu yoyote ile nitaenda kumlaza kwa knockout.

🤣🤣
 
Hahahaaa sura hiyo ushaiona wapi kaka?

Yule Kundumuzuku utemi wake mtandaoni tu.

Jana nimemwambia anipe location niende tukazipige 🥊, akagwaya.

Hata leo mi niko tayari. Sehemu yoyote ile nitaenda kumlaza kwa knockout.

🤣🤣
The Art of grooming barbershop ,GA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoo akee yuko depoo, akitoka huko yuko na gwanda za mabaka zenye vikolombwezo beganiii.

Mlinzii ninaee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂
 
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!

Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!

Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!

Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..

Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216



Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
You are very creative. This is positive rebellion ya uzi wa selfika. Yaani waamue warudishe wa uunge na huu au wakae nao.
Hahaaaaaa....
 
Back
Top Bottom