Dooh pole mkuu, au nikupe hizi zangu tuNilizivaa mara moja tu kufuliwa zikasahaulika nje wakapita nazo,though ni kiwango kimtindo View attachment 2817680
Naona umejitokeza live ..
Ngoja tusubiri yule mpinzani wako nguli wa miaka na miaka kama naye atajitokeza live.
Ila BTW sura hii si ngeni sana.
Na mimi najitahidi nifanye chap usije badili mawazo, najua huko PM zinapishana.Sawa mkuuππ so quick
Ukisikia slim and thick ndio hii.
Size mkuu,size itaniangusha.Dooh pole mkuu, au nikupe hizi zangu tu
The Art of grooming barbershop ,GA.Hahahaaa sura hiyo ushaiona wapi kaka?
Yule Kundumuzuku utemi wake mtandaoni tu.
Jana nimemwambia anipe location niende tukazipige π₯, akagwaya.
Hata leo mi niko tayari. Sehemu yoyote ile nitaenda kumlaza kwa knockout.
π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£ Yule jamaa miyayushoπ€£π€£π€£π Kuna siku katupia tshrt imeandikwa Ccugi nadhani walimaanisha Gucci ππ
Muite cazee mwambie kijiwe kimerudi aje kupita naked πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoo akee yuko depoo, akitoka huko yuko na gwanda za mabaka zenye vikolombwezo beganiii.
Mlinzii ninaee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niletee mdogo angu ningβae πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakuajee mweusi, jikii na diprozone za kupima zipoo.
Unaniangushaa bhana
Fanya uwahi mimi ndo nataka kupita hapa ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado bado mudaa, natupia pigo 1 matratraa sanaa.
πππ napita naked uko wapi?[emoji23][emoji23]
You are very creative. This is positive rebellion ya uzi wa selfika. Yaani waamue warudishe wa uunge na huu au wakae nao.Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!
Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Selfika imerudi pita naked basi πππNaona mapicha picha tu sijaelewa, vipi?[emoji23]
Nimefanyaje πππMmmm weweππ
Yaani waamue warudishe wa uunge na huu au wakae nao. [emoji23]You are very creative. This is positive rebellion ya uzi wa selfika. Yaani waamue warudishe wa uunge na huu au wakae nao.
Hahaaaaaa....
Huo ugomvi hautaisha[emoji23][emoji23][emoji23] napita naked uko wapi?