Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Hilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.Hee yatakua hayo tena, unakaba hadi penati π
Anastahili zawadi aiseeHii kazi unaiweza vizuri [emoji23]
Uswahili mm pia naujua[emoji23]Nakuona mtachambwa na shemejio [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Nataka mwaka usiishe bila bff kupata mwenzaHii kazi unaiweza vizuri [emoji23]
Lamomy unakunywa Casamigos?Hilo sisi hatutaki kujua!!! Waje na vyeti vya ndoa ππππ
Kwanza kasema hayuko booked na yeyote
Msikimbie dada bonge akija πππUswahili mm pia naujua[emoji23]
HahahahahaHilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.
Hapo ukifanya masihara mnajikuta kishawaweka[emoji23]Anastahili zawadi aisee
Haa kutest how tena? (Pregnancy ?)Hilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.
Nimekula viazi vya kuchemsha leo, hapa nasubiri ugali na kumbikumbi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]hapana,sitofahamu maendeleo yako ya afya kimuonekano...
Karibu viazi mbatata uongeze mwili.
Hapana me natumia savannah shemeji πππLamomy unakunywa Casamigos?
Sitakiiii had umalizee casee.
Huyu si ndio yupo na yule dogo mshamba, au nachanganya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nataka mwaka usiishe bila bff kupata mwenza
[emoji23][emoji23][emoji23],shemeji ananichekeshaga, yaani.Nakuona mtachambwa na shemejio [emoji23][emoji23][emoji23]
Tresor, huyu ana masaharti mengi, namuacha tuendelee na wewe tu ule mpangoπHahahahaha
ππππ Wewe kunguru umenichekesha khaaaa!!!!Nimekula viazi vya kuchemsha leo, hapa nasubiri ugali na kumbikumbi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada bonge anamalizia kununua madirisha[emoji23]Msikimbie dada bonge akija [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha,hapana we endelea nae tu, mtaelewana tuTresor, huyu ana masaharti mengi, namuacha tuendelee na wewe tu ule mpangoπ
Nawazoom tu!! Da bonge akija msikimbie πππ[emoji23][emoji23][emoji23],shemeji ananichekeshaga, yaani.