Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!

Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!

Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!

Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..

Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216



Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Brother wewe ni genius[emoji23]
Asante kwa kutuletea version ingine ya uzi wetu.
 
Shemeji utamuua huyu leo kwa furaha [emoji23][emoji23]
We bff Missy Gf njoo huku uone viaunt vyangu vitakavyokuja kuwa vizuri mkiunganisha mbegu [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe nawe na kiranga mliishia wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
@Kiranga baba tamuu, njoo unichukue unipelekee huko San Diego, maana uduguu ananinyasanyasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom