Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Tulia sasa miluzi mingi utamkimbiza mbwa 😅Ewaaaaah!!! 😍😍😍
Namna hiyo! Sa ulikuwa unaogopa nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia sasa miluzi mingi utamkimbiza mbwa 😅Ewaaaaah!!! 😍😍😍
Namna hiyo! Sa ulikuwa unaogopa nini??
Brother wewe ni genius[emoji23]Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!
Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Nimemuelewa sana tu aisee….Hapo ukifanya masihara mnajikuta kishawaweka[emoji23]
Lakini na ww si umemuelewa?
Tunaijua hiyo, test ya kuosha vyombo na kupika ulisikia wapi 😀😀Eeeh, mi sijasema hayo, au unataka pregnancy ?, mi nilisemea testing mfano kupika, kuosha vyombo n.k, au utanipa offer mkuu? niafurahi sana.
Nimetulia miye teeeena!!!Tulia sasa miluzi mingi utamkimbiza mbwa 😅
Acha tu nimpambanie kadri navyoweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],unayaweza.
Bado wewe na jamaa wa NYC 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbikumbi watamuu, jana tuliamka kudakaaa, nilikula wabichi wee, sahv walio kaangwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe kunguru umenichekesha khaaaa!!!!
Tublss basi mama mchungajiBrother wewe ni genius[emoji23]
Asante kwa kutuletea version ingine ya uzi wetu.
Shhh usiseme kwa sauti babe…..wanga wengi humu 😀😉Mbona tushamalizana dalali umefanya kazi yako vizuri tupo zetu video call wasap 😇
Sio huyo nawe 😂😂😂Huyu si ndio yupo na yule dogo mshamba, au nachanganya?
Cuzoo leo anapata kolombwezo begani, [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hajatualika tukamvalishe mataji jomooni cazee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mxxxxiiiiieeeeew!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda kwan hujaona? [emoji23][emoji23][emoji23]
Njema kabisa, naona ulivotokelezea "kiwikendii" [emoji28]Hi firstborn, za siku?
Sana watatuharibia sasa hiviiiShhh usiseme kwa sauti babe…..wanga wengi humu 😀😉
Nawaogopa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbikumbi watamuu, jana tuliamka kudakaaa, nilikula wabichi wee, sahv walio kaangwa.
Wee hukuli kwani??
@Kiranga baba tamuu, njoo unichukue unipelekee huko San Diego, maana uduguu ananinyasanyasa.Wewe nawe na kiranga mliishia wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]