cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ntakufumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntakubonda [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakufumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntakubonda [emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu unayaweza kwa kweli kwa hao wadudu nei nei 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekulia Kkoo utajulia wapiii? Acha wapori pori tulee wadudu wa kunogaaa.
Sema tu ukweli hujawah kupiga na chapat mbili 😃😃😃😂😂😂😂 Mnataka Kantry aniache sasa!!!
No sio! 🤣🤣Huyu sio mjeda wa Antonnia kweli? 😂😂😂
Yaani ni hamna mahali tunaweza fika, umeona masharti yake😀 mara nijue kupika ugali kilo 5 peke yangu aah kama ndoa ndiyo ngumu hivo basi tena nime surrender😀Si unaona sasa, mmeelewana vzr tu mdg mdg
😂😂😂😂😂😂 emu niwacheeeee ukoooSema tu ukweli hujawah kupiga na chapat mbili 😃😃😃
Ndio wewe bhanaa 😂😂😂😂No sio! 🤣🤣
sisi wa shambani hilo kawaida sana.Kilo 5 peke yangu? Huko kukomoana sasa lazima nitoke speed😀
Mm mwenyewe senene siwezi kulaUdugu unayaweza kwa kweli kwa hao wadudu nei nei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Kusutwa sunna wifiUtasutwa 🤣🤣🤣🤣
Okay, hongera ms eyesWewe nawe khaaaaa!!
Zulu man huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio bhna kwani na yeye ni Brigedia 🤣🤣🤣Ndio wewe bhanaa 😂😂😂😂
Lkn naona mmeelewana vzr tu ,safi sanaYaani ni hamna mahali tunaweza fika, umeona masharti yake😀 mara nijue kupika ugali kilo 5 peke yangu aah kama ndoa ndiyo ngumu hivo basi tena nime surrender😀
Kuna vitu vinahitaji uwe na roho ngumu 😂😂😂Mm mwenyewe senene siwezi kula
😂😂😂😂 NdioSio bhna kwani na yeye ni Brigedia 🤣🤣🤣
Nilikuwa nawala,wabichi kabisa na wakukaanga, tena nilikuwa nadaka hile mida ya jioni wanarukaga wengi huku msimu huu, sasa siku moja kipindi nipo dogo niliwala sijui hawakuiva sijui, nilitapika sana,ndiyo ikawa mwanzo na mwisho,Ni watamu kwa kweliii, labda kwa kuwa hamjawazoea.
Mie nawala wabichi had waliokaangwa
Penzi lao liko hot 😂😂😂Okay, hongera ms eyes
Kweli kabisaKuna vitu vinahitaji uwe na roho ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]