Ntakufumua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntakubonda [emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu unayaweza kwa kweli kwa hao wadudu nei nei ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekulia Kkoo utajulia wapiii? Acha wapori pori tulee wadudu wa kunogaaa.
Sema tu ukweli hujawah kupiga na chapat mbili πππππππ Mnataka Kantry aniache sasa!!!
No sio! π€£π€£Huyu sio mjeda wa Antonnia kweli? πππ
Yaani ni hamna mahali tunaweza fika, umeona masharti yakeπ mara nijue kupika ugali kilo 5 peke yangu aah kama ndoa ndiyo ngumu hivo basi tena nime surrenderπSi unaona sasa, mmeelewana vzr tu mdg mdg
ππππππ emu niwacheeeee ukoooSema tu ukweli hujawah kupiga na chapat mbili πππ
Ndio wewe bhanaa ππππNo sio! π€£π€£
sisi wa shambani hilo kawaida sana.Kilo 5 peke yangu? Huko kukomoana sasa lazima nitoke speedπ
Mm mwenyewe senene siwezi kulaUdugu unayaweza kwa kweli kwa hao wadudu nei nei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ Kusutwa sunna wifiUtasutwa π€£π€£π€£π€£
Okay, hongera ms eyesWewe nawe khaaaaa!!
Zulu man huyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio bhna kwani na yeye ni Brigedia π€£π€£π€£Ndio wewe bhanaa ππππ
Lkn naona mmeelewana vzr tu ,safi sanaYaani ni hamna mahali tunaweza fika, umeona masharti yakeπ mara nijue kupika ugali kilo 5 peke yangu aah kama ndoa ndiyo ngumu hivo basi tena nime surrenderπ
Kuna vitu vinahitaji uwe na roho ngumu πππMm mwenyewe senene siwezi kula
ππππ NdioSio bhna kwani na yeye ni Brigedia π€£π€£π€£
Nilikuwa nawala,wabichi kabisa na wakukaanga, tena nilikuwa nadaka hile mida ya jioni wanarukaga wengi huku msimu huu, sasa siku moja kipindi nipo dogo niliwala sijui hawakuiva sijui, nilitapika sana,ndiyo ikawa mwanzo na mwisho,Ni watamu kwa kweliii, labda kwa kuwa hamjawazoea.
Mie nawala wabichi had waliokaangwa
Penzi lao liko hot πππOkay, hongera ms eyes
Kweli kabisaKuna vitu vinahitaji uwe na roho ngumu [emoji23][emoji23][emoji23]