Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kipenzi
Nilikuwa kwenye fasting prayers almost mwezi mzima,,nimemaliza siku chache tu kabla ya Christmas.

Kwa namna yoyote tumbo lazima libane sana sana.

Lakini pia huwa sili sana...ila nataka kufidia losted kgs nilizipoteza wakati wa mfungo,,almost 7-8kgs...
Kwahiyo kakitambi ka kufutia simu nakataka.
 
eh yani sasa hivi CHATGPT ndo rafiki yangu
bado naenda bing huko natengeneza image
nichat zangu na AL
Niingie youtube
the list is endless
Unaona unavyotilisha huruma? Just be you.. huwezi sema huko happier kisa umeomba msamaha na bado uukimbie mtandao uliko mess up’ hiyo ni dalili ya woga.

Unajitilisha huruma huku kwa watu ambao hata hawajali lolote kwa taarifa yako
 
Samaleke sweets 🤣
 
Umekula nini leo, una madini sana
 
Unaona unavyotilisha huruma? Just be you.. huwezi sema huko happier kisa umeomba msamaha na bado uukimbie mtandao uliko mess up’ hiyo ni dalili ya woga.

Unajitilisha huruma huku kwa watu ambao hata hawajali lolote kwa taarifa yako
Arudi tu
Watu tunagombana kila siku humu
Tunapatana na maisha yanaendelea utadhani hatujawahi kutupiana maneno
 
Unaona unavyotilisha huruma? Just be you.. huwezi sema huko happier kisa umeomba msamaha na bado uukimbie mtandao uliko mess up’ hiyo ni dalili ya woga.

Unajitilisha huruma huku kwa watu ambao hata hawajali lolote kwa taarifa yako
I dont need anyone sympathy , nimekuja kufanya vile moyo unataka
siogopi mtu pia
lakini naona siwezi rudi , ni huwa niko hivyo hata maisha halisi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…