Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hongera kuwa na mfungo na kumtafuta Mungu. Mungu akutie nguvu katika njia uliyoichagua.
 
Mimi nasongesha hapa kama kawa hebu tubless hata na kamkono tu shosti
 
Haha haaaa ila wewe
Ninavyojua mimi ukiamua kuomba samahani maana yake unabeba yote, yawe ya kweli au uongo. Sasa kama anasema alisingiziwa means anatakiwa aseme ya kweli aliyoyaombea msamaha na yale ya uongo aseme haya sio kweli.
 
Hakika una commitment sana, Hongera.

Uendelee kutukumbuka kwenye maombi.

Halafu hips hazipunguagi eeenhe, maana zimechomoka tu πŸ˜€
 
Ninavyojua mimi ukiamua kuomba samahani maana yake unabeba yote, yawe ya kweli au uongo. Sasa kama anasema alisingiziwa means anatakiwa aseme ya kweli aliyoyaombea msamaha na yale ya uongo aseme haya sio kweli.
sikuwepo nitawezaje kujua yote hayo
ndo maana nimesema kuomba radhi \
 
Mim emoj tu sitaki naliaaaa
 
sikuwepo nitawezaje kujua yote hayo
ndo maana nimesema kuomba radhi \
Basi usiseme ulisingiziwa, sema tu nimeomba msamaha kwa yote yaliyotokea.

Ukisema hukuwepo unadanganya, ulini text kesho yake na kuomba nisipost tena.

Usilete maneno mengi maana utasababisha ujibiwe na lengo la msamaha wako halitafanikiwa. Ni ushauri tu, no hate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…