Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kipenzi
Nilikuwa kwenye fasting prayers almost mwezi mzima,,nimemaliza siku chache tu kabla ya Christmas.

Kwa namna yoyote tumbo lazima libane sana sana.

Lakini pia huwa sili sana...ila nataka kufidia losted kgs nilizipoteza wakati wa mfungo,,almost 7-8kgs...
Kwahiyo kakitambi ka kufutia simu nakataka.
Hongera kuwa na mfungo na kumtafuta Mungu. Mungu akutie nguvu katika njia uliyoichagua.
 
I see you babe sis, Saint Anne How do you manage kuwa na flat tummy hivyo kwenye huu uchumi wa mama Samia 😍😍🌺

Dr.Lizzy kama kawaida yako pokea maua yako Dr. 🌺😍

Tayana-wog ya mwisho sijaiona jamani 🥹

Depal i see you ❣️

Dejane 😍😍😍

Mideko nani kakuficha mamalake. 🌺

Ms eyes where are you boo🌺

Antonnia Umekuwa mchoyo siku hizi bi mzuri. 🌺

Missy Gf nakusalimia shougaa 🌸

Hannah, Dr. mariphosa where are you babes. 💕

Na wanaume wote mnaofanya uzi Uendelee kuwa hai 🤍❤️🤍❤️
Mimi nasongesha hapa kama kawa hebu tubless hata na kamkono tu shosti
 
Kipenzi
Nilikuwa kwenye fasting prayers almost mwezi mzima,,nimemaliza siku chache tu kabla ya Christmas.

Kwa namna yoyote tumbo lazima libane sana sana.

Lakini pia huwa sili sana...ila nataka kufidia losted kgs nilizipoteza wakati wa mfungo,,almost 7-8kgs...
Kwahiyo kakitambi ka kufutia simu nakataka.
Hakika una commitment sana, Hongera.

Uendelee kutukumbuka kwenye maombi.

Halafu hips hazipunguagi eeenhe, maana zimechomoka tu 😀
 
Ninavyojua mimi ukiamua kuomba samahani maana yake unabeba yote, yawe ya kweli au uongo. Sasa kama anasema alisingiziwa means anatakiwa aseme ya kweli aliyoyaombea msamaha na yale ya uongo aseme haya sio kweli.
sikuwepo nitawezaje kujua yote hayo
ndo maana nimesema kuomba radhi \
 
I see you babe sis, Saint Anne How do you manage kuwa na flat tummy hivyo kwenye huu uchumi wa mama Samia 😍😍🌺

Dr.Lizzy kama kawaida yako pokea maua yako Dr. 🌺😍

Tayana-wog ya mwisho sijaiona jamani 🥹

Depal i see you ❣️

Dejane 😍😍😍

Mideko nani kakuficha mamalake. 🌺

Ms eyes where are you boo🌺

Antonnia Umekuwa mchoyo siku hizi bi mzuri. 🌺

Missy Gf nakusalimia shougaa 🌸

Hannah, Dr. mariphosa where are you babes. 💕

Na wanaume wote mnaofanya uzi Uendelee kuwa hai 🤍❤️🤍❤️
Mim emoj tu sitaki naliaaaa
 
sikuwepo nitawezaje kujua yote hayo
ndo maana nimesema kuomba radhi \
Basi usiseme ulisingiziwa, sema tu nimeomba msamaha kwa yote yaliyotokea.

Ukisema hukuwepo unadanganya, ulini text kesho yake na kuomba nisipost tena.

Usilete maneno mengi maana utasababisha ujibiwe na lengo la msamaha wako halitafanikiwa. Ni ushauri tu, no hate
 
Back
Top Bottom