Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

sikusema usiposti nilisema asante sana kwa ulichofanya
navyokujua ungepost zaidi na zaidi
nakumbuka vitisho vyako vyote
 
haya ni maisha tu na tunapita , nimekuja andika radhi but people think nimekuja ask for sympathy , sympathy for what . nimekuja fanya tu vile what my heart desires .
nashukuru nimejifunza kupitia hii forum
Usikasirike, usiangalie watu wanajibu nini. Fanya sehemu yako, tulia.
 
Hakika una commitment sana, Hongera.

Uendelee kutukumbuka kwenye maombi.

Halafu hips hazipunguagi eeenhe, maana zimechomoka tu ๐Ÿ˜€
Nakumbuka,Nikiahidi kumuombea mtu linakuwa deni kwangu...ni akheri nivunje ratiba za maombi yangu,ila si Yale niliyoahidi kumuombea mtu..yatapiga kelele sana ndani yangu.

I promised you that you'll be in my prayers and I did so and still doing.
Sikukusahau,,tena nilitamka jina hivyohivyo "Binti Kiziwi".. Nikamwambia Mungu wewe unamjua kwa jina lake halisi na unajua anayoyapitia,pia unajua haja za moyo wake.

Hakuna cha hips ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ni nguo tu Kuna namna huwa inakaa hivyo
Nikibadili nguo utaona.
 
Its working, its working babe sis, vita ilishushwa kubwa sana, naona watu wenyewe wameanza kujiudjust. Mpaka holidays ziishe itakuwa imejulikana nini ninini na nini ninini. ๐Ÿ˜€

Ubarikiwe mtumishi ๐Ÿ˜
 
Nipo kipenzi holiday natingwa kidogo ila nimejaa tele humu..

Nikitulia ntakubles dear Usijareee ๐Ÿ˜˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ