Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Basi usiseme ulisingiziwa, sema tu nimeomba msamaha kwa yote yaliyotokea.

Ukisema hukuwepo unadanganya, ulini text kesho yake na kuomba nisipost tena.

Usilete maneno mengi maana utasababisha ujibiwe na lengo la msamaha wako halitafanikiwa. Ni ushauri tu, no hate
sikusema usiposti nilisema asante sana kwa ulichofanya
navyokujua ungepost zaidi na zaidi
nakumbuka vitisho vyako vyote
 
haya ni maisha tu na tunapita , nimekuja andika radhi but people think nimekuja ask for sympathy , sympathy for what . nimekuja fanya tu vile what my heart desires .
nashukuru nimejifunza kupitia hii forum
Usikasirike, usiangalie watu wanajibu nini. Fanya sehemu yako, tulia.
 
Hakika una commitment sana, Hongera.

Uendelee kutukumbuka kwenye maombi.

Halafu hips hazipunguagi eeenhe, maana zimechomoka tu 😀
Nakumbuka,Nikiahidi kumuombea mtu linakuwa deni kwangu...ni akheri nivunje ratiba za maombi yangu,ila si Yale niliyoahidi kumuombea mtu..yatapiga kelele sana ndani yangu.

I promised you that you'll be in my prayers and I did so and still doing.
Sikukusahau,,tena nilitamka jina hivyohivyo "Binti Kiziwi".. Nikamwambia Mungu wewe unamjua kwa jina lake halisi na unajua anayoyapitia,pia unajua haja za moyo wake.

Hakuna cha hips 🤣🤣🤣
Ni nguo tu Kuna namna huwa inakaa hivyo
Nikibadili nguo utaona.
 
Nakumbuka,Nikiahidi kumuomba mtu linakuwa deni kwangu...ni akheri nivunje ratiba za maombi yangu,ila si Yale niliyoahidi kumuombea mtu..yatapiga kelele sana ndani yangu.

I promised you that you'll be in my prayers and I did so and still doing.
Sikukusahau,,tena nilitamka jina hivyohivyo "Binti Kiziwi".. Nikamwambia Mungu wewe unamjua kwa jina lake halisi na unajua anayoyapitia,pia unajua haja za moyo wake.

Hakuna cha hips 🤣🤣🤣
Ni nguo tu Kuna namna huwa inakaa hivyo
Nikibadili nguo utaona.
Its working, its working babe sis, vita ilishushwa kubwa sana, naona watu wenyewe wameanza kujiudjust. Mpaka holidays ziishe itakuwa imejulikana nini ninini na nini ninini. 😀

Ubarikiwe mtumishi 😍
 
I see you babe sis, Saint Anne How do you manage kuwa na flat tummy hivyo kwenye huu uchumi wa mama Samia 😍😍🌺

Dr.Lizzy kama kawaida yako pokea maua yako Dr. 🌺😍

Tayana-wog ya mwisho sijaiona jamani 🥹

Depal i see you ❣️

Dejane 😍😍😍

Mideko nani kakuficha mamalake. 🌺

Ms eyes where are you boo🌺

Antonnia Umekuwa mchoyo siku hizi bi mzuri. 🌺

Missy Gf nakusalimia shougaa 🌸

Hannah, Dr. mariphosa where are you babes. 💕

Na wote mnaofanya uzi Uendelee kuwa hai 🤍❤️🤍❤️
Nipo kipenzi holiday natingwa kidogo ila nimejaa tele humu..

Nikitulia ntakubles dear Usijareee 😘
 
Back
Top Bottom