raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kwani kuna ubaya Dr Lizzy kukiwa na moja πraraa reree ziko mbili bana π
Subiri siku nitakapochukua maamuzi ya kupita "naked" ndipo nitakupatia.ππ
Sasa inabidi unipe na mimi hiyo software yako tufaidi wote!!π
Zipo kwenye droo, na sijui nilipoweka funguo.πWakati unasubiri tafadhali fanya mambo basi
Ka naked selfie kahusike Dr
Mwaka huu au mwaka kesho...?Subiri siku nitakapochukua maamuzi ya kupita "naked" ndipo nitakupatia.
Aaaah Dr Lizzy acha hizo bhanaaa yaani kiunoni zifungwe mbili π sijawahi ona ππ€£π€£π€£π€£
Hamna, ila mi napenda mbili au tatu!π
Hongera kipenzi πEeh nishampata wangu siko single πππππ
Usiku mwema...!Mwaka huu au mwaka kesho...?
Nataka tu kujiandaa!
Asante sana babe gal wanguHongera kipenzi π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Volume iko juu[emoji2089][emoji2089]
Shangazii kuchachuka ndo tabia yangu, ba tamz kakatazaa wee kashindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umechachuka au ndio mwaka mpya
Kheeeh yaan yule mdada mpolee augue kisa vocha za mjep kuwahi sisi? Kwan walikua wanadate kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We shouz,Dada mpole[emoji23]
Unakumbuka kwenye pdf lile majina yetu yalikuwepo kuwa tulisemwa na bibie..Mimi,wewe,sijui na To yeye
Kumbe shida ni zile vocha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mnayawezaaa kwa kwelii.Kama wewe Auntie nadhani ndio ulichambwa sana maana ulikuwa mtandao mmoja na Bibie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi tu pamoja na airtel yangu ambayo bibie alikuwa hatumii ila alininyamba huko.
Nasikia vocha zikawa zinamuumiza sana hadi akahisi pengine Mjep anataka kurusha nyavu.
[emoji4],maskini kumbe baba wa watu roho yake ni Kusaidia tu majobless sisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheee kumbeee??Sasa kosa la mwamba ni lipi? Mbuzi kajielekeza kibla mwenyewe usipomchinja ni dharau. Wahuni hawakatai K wewe labda iwe imeoza. Ukiipeleka inapasuliwa tu.
Hamjui tu hamna kitu kinatupa furaha kama demu umempiga matukio yote ila hana mwendo kila ukimtaka ni simu moja tu huyu hapa, ni ufahari sana aisee.
Acheni mwamba ajipigie zake mautamu bila kutumia nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa.Please behave yourself. Sitembei na wenye vyeti vyao mirembe. Labda muulize yule shogaake anaeshinda m. City anakunywa kahawa atakuwa na updates zake. No hate
Hii lugha ilikuja na ndege, translate kwan em.dear Friends,
As 2023 comes to an end , I've been wanting to apologize for the mistake , kiukweli iliniumiza sana na ninajutia kwa kilichofanyika ila nimeichukua kama lesson kwangu na kumove on . naomba radhi kwa waliohusishwa na maneno yote .
I hope this message finds each of you well. I am writing to express my sincere apologies for mistake. I realize that my actions may have caused inconvenience or disappointment, and I want to take full responsibility for any negative impact they may have had on our previous thread
I value each of you tremendously, and it deeply saddens me, Please know that it was never my intention to cause any harm or discomfort. I have reflected on the situation and understand the importance of addressing it with honesty and humility.
I am truly sorry for any hurt or inconvenience I may have caused,
Thank you for your understanding, and I hope we can move forward positively. I appreciate your friendship and the support you have always shown me.
Warm regards,
[Your TINSLEY ]
Kuna kitu unatafuta wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi jamani National Anthem yuko wapi??? Ni kitambo simuoni au mm ndo sionekani?. [emoji38] [emoji38]
Mwenyejiii mpe hii rafiki angu, nakujaa soon hapo maeneococastic njoo umuone rafiki yako kazini.View attachment 2854900