Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mwaka huu au mwaka kesho...?
Nataka tu kujiandaa!
Usiku mwema...!

[emoji28]
20231128_062003.jpg
 
We shouz,Dada mpole[emoji23]
Unakumbuka kwenye pdf lile majina yetu yalikuwepo kuwa tulisemwa na bibie..Mimi,wewe,sijui na To yeye
Kumbe shida ni zile vocha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kheeeh yaan yule mdada mpolee augue kisa vocha za mjep kuwahi sisi? Kwan walikua wanadate kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeye si alipewa elf 30 jomoneee, woiiiiih
Ila jf jomoneee, kumbee mjep nae kiwembee wa chini chini. Lol
 
Kama wewe Auntie nadhani ndio ulichambwa sana maana ulikuwa mtandao mmoja na Bibie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi tu pamoja na airtel yangu ambayo bibie alikuwa hatumii ila alininyamba huko.

Nasikia vocha zikawa zinamuumiza sana hadi akahisi pengine Mjep anataka kurusha nyavu.
[emoji4],maskini kumbe baba wa watu roho yake ni Kusaidia tu majobless sisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mnayawezaaa kwa kwelii.
Khaaaah
 
Sasa kosa la mwamba ni lipi? Mbuzi kajielekeza kibla mwenyewe usipomchinja ni dharau. Wahuni hawakatai K wewe labda iwe imeoza. Ukiipeleka inapasuliwa tu.

Hamjui tu hamna kitu kinatupa furaha kama demu umempiga matukio yote ila hana mwendo kila ukimtaka ni simu moja tu huyu hapa, ni ufahari sana aisee.
Acheni mwamba ajipigie zake mautamu bila kutumia nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kheee kumbeee??
 
Please behave yourself. Sitembei na wenye vyeti vyao mirembe. Labda muulize yule shogaake anaeshinda m. City anakunywa kahawa atakuwa na updates zake. No hate
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa.
 
dear Friends,
As 2023 comes to an end , I've been wanting to apologize for the mistake , kiukweli iliniumiza sana na ninajutia kwa kilichofanyika ila nimeichukua kama lesson kwangu na kumove on . naomba radhi kwa waliohusishwa na maneno yote .

I hope this message finds each of you well. I am writing to express my sincere apologies for mistake. I realize that my actions may have caused inconvenience or disappointment, and I want to take full responsibility for any negative impact they may have had on our previous thread

I value each of you tremendously, and it deeply saddens me, Please know that it was never my intention to cause any harm or discomfort. I have reflected on the situation and understand the importance of addressing it with honesty and humility.

I am truly sorry for any hurt or inconvenience I may have caused,

Thank you for your understanding, and I hope we can move forward positively. I appreciate your friendship and the support you have always shown me.

Warm regards,

[Your TINSLEY ]
Hii lugha ilikuja na ndege, translate kwan em.
 
Back
Top Bottom