Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Aisee mimi mtu mzima mwenzako.

Picha yako inanena mengi.

Kiwanja kinaonekana kimetifuliwa na sasa ni half time.

Hakuna mwadada anatandaza shuka likajikunja. Hiyo ni mikunjo ya show.
Ha haaa unafurahisha na utabiri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…