Ko kulewaa kupoo mlongo?? [emoji23][emoji23][emoji23]Nimepaambana direction iko nzuri [emoji7]
Sanaaa wa Kunyumba 😂😂😂Ko kulewaa kupoo mlongo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kulewaa, naombaa usinisahau tafadhariiii.!!Sanaaa wa Kunyumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Naliaibisha jitu sooon [emoji38]
Mamii nimeingia kwaajili yako njoo pm nikupe namba tuwasiliane niko busy kuingia humu sio sana ss hivi. 😘😘 Tayana wanguBasi kaamua kunipotezea
Hamna noma
Mwambie poa tu
Wapi? 😹Mbona nilimuambia akuchekii
I’m here for you darling 😍Hapana
Umeniombea ban ili uje ujishongondoe??Niitie yule mwenzio aliye pigwa ban, nataka nije nimnyooshe kama nguo.
Njoo PM.Umeniombea ban ili uje ujishongondoe??
We km kweli kidume waambie mods wanitolee ban uone nitakavyokukaanga shwaini wee
Kwenye comments bhanaWapi? [emoji81]
😂 😂 😂Kwenye comments bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngojaa nairudishaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oi Rudisha basi avatar yako pendwa
Sketcher hiyo imechoka tu. Hebu ingia google andika Sketcher shoesHili dundo km la muuza uduvi mbona [emoji81][emoji81]
Manyanza hi [emoji112]
Sketcher hiyo imechoka tu. Hebu ingia google andika Sketcher shoes
[emoji91][emoji91]