Vunjika tu hizo mbavu, tupia hizo lipsi tuone. 🤣🤣🤣Unanivunja mbavu zangu😂
TupiaGood morning again ladies and gentlemen's, hapa najiandaa kunyuka hili goma weekend...😊
OiLucas Mwashambwa tupia ulivyovaa leo☺️
Una uhakika wewe sio malaika?في هذا اليوم المقدس، لتستجاب صلواتك ويمتلئ قلبك بالصفاء. .[emoji120]View attachment 3040138
Mbona kama hospitali
Nasubiri lazizi wangu ephen unichagulie ya kuvaa halafu ndio nijitupie humu mpaka eveln salt abubujikwe machozi ya furaha.Lucas Mwashambwa tupia ulivyovaa leo☺️
Yaani she is so beautiful. Allah ampe wa kufanana nayeNimejizuia sana lkn Leo nakiri mbele za watu wewe ni mzuri sana
Waacha weee 🤣🤣🤣Nshapata wallpaper
Tupia hata ya zamaniNasubiri lazizi wangu ephen unichagulie ya kuvaa halafu ndio nijitupie humu mpaka eveln salt abubujikwe machozi ya furaha.
Nitatupia pamba kali mpaka humu jukwaani wadada wote wakawaambie waume zao waje kuulizia nilikonunua nguo zangu. halafu wewe utakuwa muda wote unatabasamu tu.Tupia hata ya zamani
TupiaNa sie bodaboda tunaruhusiwa kutupia tulivuo vaa
Nasubiri lazizi wangu ephen unichagulie ya kuvaa halafu ndio nijitupie humu mpaka eveln salt abubujikwe machozi ya furaha.
🤣🤣🤣Waacha weee 🤣🤣🤣
Aaliyyah pokea hizi baraka kutoka kwa sheikh Manyaza 😁Yaani she is so beautiful. Allah ampe wa kufanana naye
Huyu chawa akitupia najipiga ban ya wiki nzima