Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Mkuu ushapiga msosi umeshiba ukaona ya nini kujibana ukachomolea ๐น๐น๐น
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushapiga msosi umeshiba ukaona ya nini kujibana ukachomolea ๐น๐น๐น
Kumekucha rangi ishakuwa ya kimatumbi namna gani Manyanza?? ๐น๐น๐น
Aaaaaah....Haya Mbe....Otee ichu nyi mndu o nuka.
Kumbe umepewa basi wii ๐นAhsante Wii wetu
Saa ningekuwa Wii....Ila si unajua cha kupewa na Babe kinavyotuzwa๐
Halafu kule umepigwa marufuku ya maisha au watakurudishia?
Kwan unayo๐Ngoja nirudie kuangalia picha
Yes Dear...Kumbe umepewa basi wii ๐น
Nitarudi wifi yangu usijali ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Halafu wanavaa miwaniโบ๏ธSana yani hata ndevu bado changa mno๐๐
Ahsante wii ๐ฅฐYes Dear...
Karibu tena Wii wetu...
Si ipo humuKwan unayo๐
Si nilifuta ๐๐Si ipo humu
bwanaa[emoji3], me ni mwananchi tu wa kawaidaUna uhakika wewe sio malaika?
Tuache utani jamani, hivi huyu si P - Funk (mvuta bangi majani)?View attachment 3040365
Nitakuwa ile sehemu leo jioni, kina Mama njooni
Jf ina watu bhana!Kuzurula ๐
View attachment 3040424
๐ ๐ ๐Manyanza hizo crocs za tandale mida ya saa 10 ๐น๐น๐น
Ndio Mimi huyo aisee though nimefanya image enhancement ili picha iwe clear zaidiManyanza km huyu ndio wewe basi Mashallah ๐ฅฐ ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Una ngozi tamu, lips na hizo ndevu awwww ๐
Jimbo liko wazi aisee ๐ ๐ ๐Kumekucha rangi ishakuwa ya kimatumbi namna gani Manyanza?? ๐น๐น๐น
Mpe hi wifi, una meno ya sungura ๐
Umeeka ka filter kutuvua au sio ๐น๐น๐นNdio Mimi huyo aisee though nimefanya image enhancement ili picha iwe clear zaidi
Asante Sana kwa compliment ๐คUmeeka ka filter kutuvua au sio ๐น๐น๐น
Nwei uko vyedi, toka nimeanza kuona picha za wanaume hapa jf Wewe ni namba 1 umewafunika. ๐๐