Mkuu ushapiga msosi umeshiba ukaona ya nini kujibana ukachomolea πΉπΉπΉ
Kumekucha rangi ishakuwa ya kimatumbi namna gani Manyanza?? πΉπΉπΉ
Aaaaaah....Haya Mbe....Otee ichu nyi mndu o nuka.
Kumbe umepewa basi wii πΉAhsante Wii wetu
Saa ningekuwa Wii....Ila si unajua cha kupewa na Babe kinavyotuzwaπ
Halafu kule umepigwa marufuku ya maisha au watakurudishia?
Kwan unayoπNgoja nirudie kuangalia picha
Yes Dear...Kumbe umepewa basi wii πΉ
Nitarudi wifi yangu usijali π₯°π₯°π₯°
Halafu wanavaa miwaniβΊοΈSana yani hata ndevu bado changa mnoππ
Ahsante wii π₯°Yes Dear...
Karibu tena Wii wetu...
Si ipo humuKwan unayoπ
Si nilifuta ππSi ipo humu
bwanaa[emoji3], me ni mwananchi tu wa kawaidaUna uhakika wewe sio malaika?
Tuache utani jamani, hivi huyu si P - Funk (mvuta bangi majani)?View attachment 3040365
Nitakuwa ile sehemu leo jioni, kina Mama njooni
Jf ina watu bhana!Kuzurula π
View attachment 3040424
π π πManyanza hizo crocs za tandale mida ya saa 10 πΉπΉπΉ
Ndio Mimi huyo aisee though nimefanya image enhancement ili picha iwe clear zaidiManyanza km huyu ndio wewe basi Mashallah π₯° π₯°π₯°π₯°π₯°
Una ngozi tamu, lips na hizo ndevu awwww π
Jimbo liko wazi aisee π π πKumekucha rangi ishakuwa ya kimatumbi namna gani Manyanza?? πΉπΉπΉ
Mpe hi wifi, una meno ya sungura π
Umeeka ka filter kutuvua au sio πΉπΉπΉNdio Mimi huyo aisee though nimefanya image enhancement ili picha iwe clear zaidi
Asante Sana kwa compliment π€Umeeka ka filter kutuvua au sio πΉπΉπΉ
Nwei uko vyedi, toka nimeanza kuona picha za wanaume hapa jf Wewe ni namba 1 umewafunika. ππ