Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Ndio nakuuliza unataka nikununulie uendee clinic kumbuka umebeba Mapacha 7 hapo Muda huu alafu bado nakupelekea mkong'oteo
Najua umekipenda unaona aibu kusema 😹😹😹
Nakununulia wifi usijali
 
Na wee ni kibopaa bhana.
Hope uli enjoy msosi mtamuu!!
Kama kibopa wa JF sawa, hapa ndio eneo unaweza kuwa mtu yeyote. Kama kwenye ndoto vile.

Melia Zanzibar napapenda zaidi kuliko Arusha. Wana eneo kubwa na muundo wa vyumba vyao ukichanganya na ufukwe wa bahari unasahau dhiki za reja reja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiii nimechekaa sanaa!! Kibopa wa kotee bhana.
Kula life mkuu!! Tunaishi mara mokoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…