Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Njera/ Injera ni kama chapati za maji lakini sio. Chakula maarufu sana Ethiopia. Hapo zimemwagiwa nyama na hiyo ya njano ni kama pilipili ya unga.
Katika misosi ilinishinda ni hii kitu. Ukienda miji ya kusini mwa ET hii kitu inakuja na nyama mbichiโ€ฆโ€ฆtembea uone na kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ