Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
MV , Maersk Alabama
Em huko, ndo meza ziwe km machinjio ya vibudu pale mbezi stefoli? KhaaahHapa sio mashindano ya meza mjukuu ni kijiwe cha kutoa lock [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ bila hekaheka haunogiAcha ukorofii uduguuu huu uzi hatutaki hekaheka mjue!!
Tupie mafotoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muachee babuu miga, wee mbna mkorofiii?? Ntakubondaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema babu anachekesha
Hebu arudi tuendelee kumtania sie
Nimemiss miosho yake [emoji1787]
Nifowadie pmπ€ͺHata ninalo sasa? πππ
Mifupa mitupu imejaa
Aisee!! Poleni sana
Uzuri wa shughuli hekahekaππππ bila hekaheka haunogi
Me namkaribisha babu mi nimemmiso kweri kwerii
Yutongs za Shimba ya Buyenze heavyweighttttt
Kuna jambo limenishtua nilivyoonaMV , Maersk Alabama
Babu miga asababishe ile mindinga ya ku download πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muachee babuu miga, wee mbna mkorofiii?? Ntakubondaa.
Thubutuuuu!! Mtoto mashallah! Umekamilika kila idara!Hata ninalo sasa? πππ
Mifupa mitupu imejaa
Mungu ni mwema sanaSijambo aunt. How u doing...
-Kaveli-
Si ndo hapo sasa!! Ya nini kukaa ukiwa km tuko msibani? ππππUzuri wa shughuli hekaheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwann unanifanya niwe wa uswazii? Ba tamu anataka niwe km wa Masaki.Babu miga asababishe ile mindinga ya ku download [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mipicha ya warembo worldwide km yote
Weee uduguu kushinda insta kwiooo chimbo letu limerudi hakuna kuondokaaa! πΊπΊπππ€£ππππ Mi mwenyewe nakaribia kustaafu hekaheka! Ss hivi nashinda insta na Kantry
Halahala uzi usifungwe tuπ!Si ndo hapo sasa!! Ya nini kukaa ukiwa km tuko msibani? ππππ
Michachuo lazima
πππ mifupa?Nifowadie pmπ€ͺ