Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mfyuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We’re huyo kunguru wa zenji?!!!
Shem anajichosha tyuuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu niwachee, nataka kustaafu heka heka, mrithi wangu ni wee.
 
Sindio asee. Nikikosa Tims huwa natupia airmax OG au airforce au vans na all star. Sivai kiatu ingine. Travoo navaa labda kwenye events tu. Ila casual ni Tims, Airmax, AllStar, Vans na AirForce.
Unyama sanaaa Eng.
Yaan mambo ni vyediiii.
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Unyama sanaaa Eng.
Yaan mambo ni vyediiii.
[emoji91][emoji91][emoji91]
Nikiwa kwenye mbishe natupia Blue Steel. Yani hapo niko safe kinyama
images (4).jpeg
 
Labda anipe ruhusa mwenyewe 😂😂
Niwafurahishe if niachike na mume?
Hata km nimempata JF sio ndo nijiendekeze
Mwari umehitimu😍
Hongera mwari wangu hongera, nami somo yako nihongere🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] La mstari
Kuna clip niliona sijui watu wa wapi wale, wamewaweka mstari ngariba akipita anakata km anakata nyama kisu kikali!!!
Mpk chango lilicheza, nikasema wanaume kumbe nao wanapitia magumu shenzy zao!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
 
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!

Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!

Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza!

Hebu tupia ulichovaa leo iwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote ule..

Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216



Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
Screenshot_20231118_204232_com.android.gallery3d.jpg

Shida nikukere tu mweka mada...😂
 
Back
Top Bottom