Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Almanusura niseme Dr Isaac Maro, oyaa upo TPDF[emoji16]intake ya 2020 mafunzo Russia? Nijibu kabla sijaja piemuni
Haha mkuu kwanini umefananisha na huyo, hapana mimi siyo mwanajeshi, hiyo intake unayoisemea ni wale wa military science walioapishwa leo au
 
Haya tupia basi tuone mshengena huo madam, kitambo sana🤣🤣🤣
Mshenenga si mpaka niwe nao wa vipajii nipo tu nachangamsha genge hapa!
Bora umekuja utupie makw story nyingi sana humu!
 
Back
Top Bottom