Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza
Unajua ni kwanini maskini kuchagua viwalo? Kupendeza
Unajua kwanini baadhi getu hupenda watu watuangalie na kutusifia? Kupendeza
Hebu tupia ulichovaa leo uwe saa, miwani, wigi, kiatu ama nguo yoyote ile na urembo wowote upe..
Kama huna basi tupia hata cha mtandaoni unachoona aliyevaa kimemtoa kwatu na kupendeza sanaView attachment 2817216



Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2817248
TzF iko tayari kunyanyua majeshi mzigoni na muda huu namna hii
 

Attachments

  • IMG_20231118_091457_3.jpg
    IMG_20231118_091457_3.jpg
    147.1 KB · Views: 18
Back
Top Bottom