Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

images.jpeg

Niko naangalia suti gani nivae leo kama mtoko wa chachi.
 
.........kwakuwa bado asubuhi wengi bado wamevaa vyupi na boksa vitandani, ila kuanzia mchana baadhi wataanza kuposti viwalo halisi, kuna bibie ana shepu yake nasubiri atupiemo kafoto, nb: kupendeza kunategemea zaidi ubora wa umbo la mtu........
 
Back
Top Bottom