Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Niaje dada yangu 😂Oohoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niaje dada yangu 😂Oohoo
😁🤣😁😁😁😂😂😂 Oyaaaaa😂😂😂😂
Kama kawa muitaliNiaje dada yangu 😂
Vipi na wewe unafanya kazi kati ya hizo mbili?Wanapaka wasaniii waandishi wa habari mbona kawaida dada yangu
Babu Kipindi nipo Lubumbashi nilishawahi kuwa mwanamuziki piaVipi na wewe unafanya kazi kati ya hizo mbili?
Usikute wewe ni Ferre Gola Mkuu
Tusije kupoteza fursa za kupiga picha na Celebrate humu 🤗
Hongera sanaBabu Kipindi nipo Lubumbashi nilishawahi kuwa mwanamuziki pia
Skuizi nimeacha Babu nipo bize sana na familiaHongera sana
Unaweza kuimba nyimbo za Kilingala nikupe deal kwenye Baa Mkoani
Hongera Mkuu, familia ni muhimu sana maana ndiyo mfariji wetu tukizeeka kama hivi 🤗Skuizi nimeacha Babu nipo bize sana na familia
Mambo mengi ndugu
PoleMambo mengi ndugu
Safi sana chifu
Aisee salimia😁🤓🤣No Mimi ni kijana wa miaka 25 tu
Zulu man njoo uone kijana ana paka make up🤓🤣🤣.Pitia za juuu nimeweka pitia utaona ambazo sijapaka mekapu
Depal dogo ana paka make up aisee🤓🤣🤣Oohoo