Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Njera/ Injera ni kama chapati za maji lakini sio. Chakula maarufu sana Ethiopia. Hapo zimemwagiwa nyama na hiyo ya njano ni kama pilipili ya unga.
Katika misosi ilinishinda ni hii kitu. Ukienda miji ya kusini mwa ET hii kitu inakuja na nyama mbichi……tembea uone na kujifunza.
 
IMG20240719154200.jpg
 
Back
Top Bottom