Ulivyo mjinga sasa na hii unai expose kabisa 🤣🤣🤣.hii ni backup nilipewa warning juzi, naona ile nyingine iko hatarini😂
ah we nimtaje aone namzoea vibaya😂Choko gani alikupa warning?? 😆🌪️
Mimi ninayo kama hiyo ila ni SubmarinerRolex-Oyster perpetual (superlative chronometer)hapana chezea 🤣🤣🤣
Haya mambo ni mazito,wasije nivizia wanikate mkono bureee🤣🤣🤣🤣🤣Maneno meng bila picha weka.......tuone na mkono kama umebeba bahati [emoji23][emoji23]
We kanya boya mshamba_hachekwi nimekusoma choko ww.hii ni backup nilipewa warning juzi, naona ile nyingine iko hatarini😂
Picha mbovu kama nn
wasalimie huko darslum mkuuWe kanya boya mshamba_hachekwi nimekusoma choko ww.
Da re salama jotowasalimie huko darslum mkuu
Na ulivyo lofa huna hela.Da re salama joto
Exactly bro exactly. 😁😁😁😁😁.Nakuonea huruma sana.
Andrew tate wannabe