Umevaa nini mkononi!

Umevaa nini mkononi!

Nilivosomaga ule uzi wa Umu kuhusu watafutaji pesa kwanjia za waganga kwa kupewa bangili au pete kila nikikutana na mtu mwenye Hivo Vitu Huwa namuangaliaaaaaaaa!
Hata ambao hua hawana hivyo vitu mkononi pia hua unawaangalia na ndio maana hua unagundua kua wao hawana hivyo vitu mikononi mwao.

😎😎
 
Mtz halisi.....!! Naipenda Tanganyika naipenda zanzibar
JPEG_20230722_114855_1630398289763200448.jpg
 
Kwa hiyo ndio umeona umependezaaa mpaka utuonyeshe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]?
Tupia chako....tuone naww ulivyopendeza [emoji3061][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom