Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

Sasa Hannah ukiangalia hawa wote wanne hakuna aliyetongoza yaani mtu unaangaliwa machoni na paap umeliwa?
Mwanaume utajiuliza tu kwa hali hii kaliwa na wangapi?
[emoji23][emoji23]huwa inatokeaga lakini
 
[emoji23][emoji23]huwa inatokeaga lakini
Hannah ni kweli hii inaweza kumtokea kila mtu walau mara moja hii ya mara 4 mfulilizo...tena kwa usiowafikiria...je aliowafikiria na wamemla kwa staili hii ni wangapi?.
Usiwe mgumu sana na usiwe mrahisi kupitiliza hii ndio hoja yangu...onyesha thamani yako...ringa kidogo tu mwanamke๐Ÿ˜‚
Hannah mwaliko wako naukumbuka pia nakuja
 
Wacha vijana waongeze kurasa za utamu kwenye vitabu vyao vilivyojaa kurasa za misukosuko kuweka balance. Hata hao China unaowasifia wanaongoza kwa idadi duniani hii inamaanisha moja ya msukumo wa kazi zao ni uzinzi.
 

Umenena vyema. Hapo nimekuelewa.
Karibu sana mkuu, pengine na mimi nitapata kisa cha kuja kusimulia hapa.
 
Hako kawiki ka kukuzungusha kila siku usiku tunatoka dinner nakula nashushia na Savannah nne. Kisha ndio nitakubali.
Hapo si nitakuwa expensive?
Msichokijua wanaume tunajivuniaga sana ke expensive na awe na akili flani aah hapo ni mkataba.
Epuka kuzungusha mda mrefu zaidi pia waweza kutomwa๐Ÿ˜…
 
Wewe binti ni malaya tu kama malaya wengine wote wamekupiga dudu kirahisi. Hakuna kimasihara hapo au bila kudhania inshort wewe ni maharage ya Mbeya...
 
Msichokijua wanaume tunajivuniaga sana ke expensive na awe na akili flani aah hapo ni mkataba.
Epuka kuzungusha mda mrefu zaidi pia waweza kutomwa[emoji28]
Ewaaaaaaahhhh, sasa hao Ke expensive, afu beauty with brain mmojawapo ni mimi. Ushindwe tu mwenyewe. Yaani huwezi juta.
 
Watu wanajifanya kukemea hapa na kumkejeli binti wa watu kwamba malaya, huyu kafunguka na ukweli ndio huu hatujui tu yaliyowakuta wake zetu. Haya mbona ya kawaida hata sisi kuna mabinti wastaarabu kabisa tunatembea nao kimasihara lakini wapo na hawana doa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ