Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena waupeleke kwenye story of change tukakupigie kulaModerator ungeni uzi chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena mshenga mwanamke hashindwagi kitu.Hivi kuna mshenga mwana mama? Sijawahi kuona eti😃
Huu ndio unafiki pro max!Thamani yako iko wapi kama mwanamke? sababu mpaka hapo umeshajishusha vya kutosha binti na thamani yako wala haionekani tena. Mwanamke na mwanaume ni tofauti kwa mwanaume hayo matukio ni sifa na pride lakini kwa mwanamke, sitotumia maneno makali lakini "cheap" ndio lenyewe, sikutukani wala kukushambulia ni uhalisia na ukweli mdogo tu. a little truth.
Honestly unatakiwa uanze kujitambua na kujiheshimu kabla muda haujapita even though miaka 23 sio midogo.
Natamani sana kuoa na kuwa na maisha ya mke na familia ila kila siku zinavyozidi kwenda nazidi kupata mashaka kama kuna mwanamke safi dunia hii, but I won't give up searching.
Anyway screw it.
Kwa hiyo Mwanamke yeye hana hisia???Nisikilize Drim Kwini;
Mwanaume ni mwindaji kama simba.
Endapo swala ataona simba na kuacha kukimbia, swala huyo atahesabiwa ni mgonjwa.
Duniani kote mwanamke akitakiwa angalau huringa kiduchu jspo kiuhalisia moyoni yuko tayari mara nyingi.
Pili...kuliwa bila kutaraji angalau iwe mara moja nafikiri isingefaa kulaumiwa.
Sasa dada yetu yaani ni mfululizo tu akitazamwa machoni amelowa heee.
Thank you.Huu ndio unafiki pro max!
Kule kuna uzi wa kula tunda kimasikhara, wanaume wanatoa ushuhuda wa mambo makubwa zaidi ya haya, eti wanasifiwa ni vidume!
Hapa binti kashuhudia alivyoliwa kimasikhara ndio mnaamka kukumbuka eti thamani ya mwanamke! Thamani ipi? Kwani mwanaume hana thamani? Wale mnaowakula kimasikhara si ndio hawa sasa wamekuja upande huu kushea story zao? Tuacheni unafiki.
Kinadada na kinamama msikatishwe tamaa na wanafiki kama hawa, hebu mwageni story tufaidi. Maisha mafupi haya, stress za nini?
It takes two to tango!
Gawa mama hicho kidude ni chako yaani gawa kwa kila rika.Kwa hiyo Mwanamke yeye hana hisia???
Anatakiwa kuringa nani anamtaka aringe???
Mnawakandamiza sana Wanawake yaani mnawachukulia kama ni viumbe flani hivi kutoka sayari nyingine,
Hawana machaguzi, Hawana hisia, Hawana kauli.
Usisahau wakina HAPPY,Hawa ndio kina rose,neema, irene n.k wanaliwaga tu na mtu,cheo,hata na age yoyote.
Mkuu sikushauri kabisaaa kuendelea kutumia hio njia kama unaishi mikoa ya pwani.hio namba moja huwa naitumia sana,tafanya njia yoyote ili upate taarifa mm ni hanisi,hasa eneo ambalo sifahamiki kosa uingie mkenge umekwisha..maana utakuja umejiamini hamna kazi.
Kila ukijaribu kuachana na mambo ya mbususu anatumwa mrembo mmoja aje atoe story tamu tamu jinsi alivyoliwa ilimradi tuu uendelee kuwepo kwenye dhambi.
Nyie ndio mnanifanya nishindwe kuacha maana mtu akipost tuu mambo ya mbususu mna nimention. Ila nikiwatomgoza ili nioe nitulie htaki lakini kwenye thread mnasema oh wanawake runapenda bad boysBas hapo abdala kichwa wazi anakusumbua mwenywe [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila melo angeandaa tuzo wallah kipengele cha kupenda mbususu ungechukua wewe
Remix ya kimasihara hii. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!Ewaaaaaaahhhh, sasa hao Ke expensive, afu beauty with brain mmojawapo ni mimi. Ushindwe tu mwenyewe. Yaani huwezi juta.
Nyie ndio mnanifanya nishindwe kuacha maana mtu akipost tuu mambo ya mbususu mna nimention. Ila nikiwatomgoza ili nioe nitulie htaki lakini kwenye thread mnasema oh wanawake runapenda bad boys
Happy hakosekani,usisahau wakina HAPPY,
Mmh! Huwa nazichakata, ila wewe umezidi kipimoHappy hakosekani,
Nimewakumbuka na joan,sabrina,digna,halima,lucy,jack,angel,jeliana, jamn mm wengine majina sikumbuki maana