Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

Umewahi jiuliza kama Israel akirusha Mabovu 200 kwenda Irani nini kitatokea ?

hatari sana atauwa mpaka sisimizi wa Iran.Mpaka miti itakufa.

ombeni sana asije kufanya hivyo mafuta yatapanda bana,,dah!
 
Kama moja tu lilichimba mpaka handaki
Mteule unateseka ukiwa wapi? Inasikitisha kuona watu wanaojinadi kuwa wateule wana iq ndogo sana.


Hayo mabomu nchi nyingi wanayo huwa yanatumika kupiga sehemu maharmu. Pale itakapoitajika irani watayatumia
 
Bomu linalotupwa kwa ndege ni tofauti na linalotupwa kwa surface-to-air missile moreover long range.

Iran ingetuma ndege obvious madhara yangekua makubwa zaidi
Ndege zingeingilia wapi ?
 
Shida ni kufikiri Iran ni muoga kama Watanzania, Iran sio Tanzania wala akili za uoga kama zenu hana
 
Back
Top Bottom