Umewahi kuachwa na Basi au Treni? Ulifanya nini kuliwahi

Mimi kama kesho Nina SAFARI ya mkoani amabayo basi ni lazima litokee ALFAJIRI age mbeya MWANZA na mikoa ambayo basi ikitokea ASUBUHI inafikia usiku ambapoara nyingi nakuwanakata tiketi siku 1 au siku 2 kabla basi hiyo siku yasafari nakuwa silali au kama vile zamani basi pekee za Moja kwa Moja ambazo zinatika asubuhi sana mm hiyo siku silali usingizi wangu naulipa kwenye basi
Nafika mapema sana saa limoja au mawili kabla nipo kwenye bus

Lakini kama ni hivi vimkoa basi lipo Hadi la saa 4 asubuhi au saa 6
Sasa niamkie asubuhi saa 10 au 11 ya Nini nitoe pesa ya Bure ya boda au Bajaj mana usiku daladala tabu huwa naondoka mida ya hiyo unlesslabda iwe safari lazima nifike muda fulani

MAISHA yangu yote sijawahi kuchelewa basi ambalo nishakata tiketi tayari
Naonaga ni wazembe na mabwege mno utachelewaje Asubuhi ambayo hata excuse ya foleni hakuna
 
Nilifukuzia basi toka nyegezi hadi mkolani,kisa nilibanwa na tumbo la kuhara,sito sahau hiyo siku safari ya mwz to bkb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…