IndeedNimenunua kiwanja kwa hela ya betting ...nimeanza ujenzi kwa juhudi zangu ,majuzi tena nikapunga nipo namalizia finishing.
Tatizo hela za betting inakuja kwa bahati ,kwenye hali ya kujipongeza unakuta imeisha . Hela yoyote ukipiga fanya uamuzi fasta
Halafu hela za fasta hivi za kupiga bila kutegemea unakuta mtu anaanza kujitosa tena ili apige pakubwa ,na ukishakuwa na hela kwa mda huo huangalii options zenye risk ndogo we unataka faida kubwa zaidi ,mwisho wa siku inaisha tena huko huko ,unatakiwa ukipiga hata mil 2 fanyia kitu kwenye mtaji endelea kama mwanzo kama unabetia buku mbiliMaisha Ni mipango,mikakati hivyo lazima uheshimu Kila pesa unayoingiza bila kujali umepata kwa njia gani
Kuna mtu anaiheshimu laki nne anayoipata kwenye ajira yake,
Labda kwakuwa kawekeza muda mwingi takribani siku 27 kwenye kazi yake
Cha ajabu haiheshimu milioni nne aliyoipata kwenye betting
Kwakuwa ame stake elfu hamsini na kashinda milioni nne ndani ya muda mfupi
Unabashiri asubuhi jioni unapiga Hela zako yaani Ni mtaji kidogo faida nyingi kwa masaa
Hapa kwa haraka huwezi kiheshimu hii pesa uloshinda kwakuwa pengine hujaitolea jasho kivile
Hapa Ni Bata kwa sana na ulevi mwingine mwingi.
Iko hivi asikwambie mtu Ni rahisi kupanga bajeti zako kwa kutegemea mshahara wako wa mwezi ujao lakini ni ngumu kupanga bajeti kwenye Hela ya kamari ambayo hujui utapata au laa
Uyo jamaa anabahati sana,eneo la kwanza kwenye beting ni kuwa na bahati alafu kingine mtaji na ujue kubeti.mimi sio mbetiji but kuna jamaa namfahamu tena hakuwa hata anajua kubet ila alikua anakuja kwa jamaa mtaani anabetisha kwa mashine zile anachagua game sio zaidi ya 3, then anaweka si chini la kaki 3 mpaka 5 nadhani asee jamaa alianza ujenzi kabisa maana alikua kula million 2 au 3 mpaka 5 ni kawaida sana kwakwe.
so nadhani inawezekana kinachosababisha vijana wengi wanaobeti wasile ni pesa huwezi kuweka timu 20 uweke jero upate milion 15 hiyo ni bahati nasibu kweli kweli.
Nadhani pia sijui siku hizi kama bado anaendelea ni miaka mingi nilihama hapo ila alinishawishi nibeti enzi zile.Uyo jamaa anabahati sana,eneo la kwanza kwenye beting ni kuwa na bahati alafu kingine mtaji na ujue kubeti.
Kuna jamaa nilimwona kwenye tv aliwahi kupiga jackpot ya sportpesa ,akaja kuleta mrejesho amefanyia nini,alijenga nyumba matata na kanunua rangeTunda Man huyu msanii
Aliwahi kupiga milion 30.
Naona maisha yake yamebadirika
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app