Umewahi kubadilisha maisha yako kwa kupitia pesa za betting?

Anaejua trick ya ku win virtual bet anifundishe
 
Wengi wanaoshinda hizo pesa huyeyuka bila kufanya maendeleo ni watu wachache Sana wanaotulia na kufanya maendeleo..kama wanaoshinda wapo 10 basi 2 ndio unaweza Kuta wamefanya kitu..Kuna mtu alipata 20 mill karibu nusu ilirudi kwa mhindi na nyingine alikula Bata...saiv Hana hata kumi...
Hapa nazungumzia wale ambao kaweka 500 au 1000 kajikuta kapata 10 mill ila wale wanaofanya betting kama uwekezaji hao akili imetulia maana mtu ukiangalia akaunti yake ana 5 mill and above ya kuchezea..Leo anaweza akaliwa 1 mill kesho akapata 2 mill..
 
Demu wangu hajui mpira wala mchezaji lakini alibet akashinda kshs 200k akabadilisha sebule kaeka masofa ya kwenda na mtivii inch 49 cha ajabu kila nikimshawishi abeti tena hataki.
 
Demu wangu hajui mpira wala mchezaji lakini alibet akashinda kshs 200k akabadilisha sebule kaeka masofa ya kwenda na mtivii inch 49 cha ajabu kila nikimshawishi abeti tena hataki.
Hahhaa naona unataka tumia nyota yake hapo kutoboa
 
Demu wangu hajui mpira wala mchezaji lakini alibet akashinda kshs 200k akabadilisha sebule kaeka masofa ya kwenda na mtivii inch 49 cha ajabu kila nikimshawishi abeti tena hataki.
200k inatosha kununua vitu vyote hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…