Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
- Thread starter
- #61
haliwi ila tuna samaki anaitwa mkunga anapatikana zaidi africa huyu analiwa amefanana sana na eletric eelkuna jamii wanamla? mbona anafanana na nyoka jamni,, sema ni mzuri kwa kumtazama sio kama wale nyoka mkomao