Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
- Thread starter
-
- #61
haliwi ila tuna samaki anaitwa mkunga anapatikana zaidi africa huyu analiwa amefanana sana na eletric eelkuna jamii wanamla? mbona anafanana na nyoka jamni,, sema ni mzuri kwa kumtazama sio kama wale nyoka mkomao
huyu anafanana na jiniπ’ anaonekana kuwa na ngozi nzuri, ngozi matelezoπ€,,,haliwi ila tuna samaki anaitwa mkunga anapatikana zaidi africa huyu analiwa amefanana sana na eletric eel
View attachment 3601646
Anafanan na Kiongozi mmoja wa Chama tawala.The koala sleeps up to 22 hours a day. A true sleep influencer.
View attachment 3595522
GGentleman Anaamini Kuna CCM Tu π πππna in fact Neema na Baraka hizo Mungu, zibadili moyo wa kindezi wa kukata tamaa kua fursa muhimu sana ya kujirekebisha na kua jasiri na mwenye bidii zaidi ya kupambana na magumu kuelekea mafanikio π
Nyoka Ya Shabahii nini nyoka au samaki?