Umewahi kufanya ukauzu gani kwa mpenzi wako?!


teh teh teh,chezea engineer weye!
 


Nitonye you made my day!
 
Afu NasDaz haiwezekani, lazima utakuwa Mpare wewe! Coz sijawahi kuona mwanaume bahiri kama wewe! Kwa demu unayemsufia kihivyo afu anaku-date for the first time naturally akili ya mwanaume yeyote ingeizungukia dunia nzima ndani ya sekunde tano na ikarudi na elfu hamsini! Unacheki? Achana na kitu first dating kwa demu mwenye mvuto wa kiwango kama unavyojaribu kutujengea hisia; unaweza ukatoka hata na gari ya mkopo! Au nasema uwongo mazee? Taawira unayojenga inawezekana tu kwa demu wa kiwango hicho uliyemlima siyo chini ya mara tano, but never for a real queen's first dating.

Hata hivyo stori yako inamvuto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…