Heshima kwenu waungwana👊,
Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni 😅.
Mie naanza vya kwangu:
👉 Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu demu nilikuwa namtumia pesa mara kwa mara kwa miamala midogo midogo, kama vile 20k hadi 50k. Jumla haikupungua 200k kwa mwezi. Siku moja tulipishana kauli, akanisimanga: "Hunitishi na vihela vyako vidogo vidogo..." (Sikuwa nimegusia issue ya hela).
Soln: Nilikausha kumtumia pesa, vocha & kulipia bills zake. Alipougua niliishia kumpa pole ya mdomo. Alianza kulalamika nimebadilika, na kuniomba msamaha. Nami nilimjibu: "Hujanikosea, maisha yamekuwa magumu sina hela." Nilikaza mpaka mwisho, akajiengua.
👉 Mwingine alitaka kutumia sex kama silaha ya kuninyanyasa. Anakuja home, nikiomba anadai amechoka... mara oh niko Pd. Nikamvumilia na akafanya kuwa mchezo wake.
Soln: Siku moja, kaja nami nimetoka safari ya mbali nina ukame. Akaniletea zake tena, nikamuuliza: "Umechoka? Mbona mara zote we umechoka?" "Sasa kuanzia leo nakupandisha cheo, kuna kidada kizuri kuliko wewe, kinanimezea mate kila siku, kitakuwa kinakusaidia rasmi. Wewe utaamua unavyoona, ila sina appetite na wewe." Nilinuniwa, kila akinihitaji nami namjibu nimechoka 😂.
Asanteni, karibuni tuendelee...